Madalali wa nyumba wanaharibu biashara ya kukodi na kuuza nyumba na viwanja (real estate)

Madalali wanatakiwa wasajiliwe, watambulike kisheria na walipe kodi ! Unaweza kukuta kirikuu kinauzwa ndani yake kuna mlolongo wa watu 7 mpkaka umfikie muuzaji,,,ndo maana wanaweka hela kubwa ili waweze kugawana posho ! Ni ujuha wa ajabu
 
Lawama pia kwa wauzaji. Hivi hakuna namna ya kuuza kitu kama nyumba bila kupitia kwa madalali? Lawama nyingine kwa sekta binafsi. Hivi hakuna mtu au watu binafsi wanaoweza kuunda website na app ambayo kila mtu anayetaka kuuza nyumba yake anaweza kuweka tangazo lake na wao wachukue ada ndogo tu? Mmi nadhani badala ya kulalamika tuone kama ni fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…