Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ewaaaa huyo huyooo, halafu hao wadau uliowataja lazima uende nao kwa step...
Kwanini?Ewaaaa huyo huyooo, halafu hao wadau uliowataja lazima uende nao kwa step...
Nyie memba mbona mmepotea hivo? DuuuBaba V salama mkuuu
nipo japo Marry Hunbig hajanitaja
Mamndenyi salama
Niko single aise nafasi haina mtu sijui nikuje tena kwako
Watu8 sijui kafichwa wapi
Pigaaaaa, round 3 nawajibika.
Naaamini amaroki imepaki hapo pembeni
Basi watu wakanidanganya eti ulishatangulia...ha ha ha....hiyo ilishauzwa.......sasa hivi ipo LX V8......njoo nikupe round......
Mmmmmh we babuuWe angalia utapimwa mkojo... Bishanga hivi sasa yuko lupango kwa matumizi mabaya ya ofisi ya tiefuefu... huoni siku hizi Yanga mambo yamewadodea?
Usinambie hukujua kama Bishanga ndo Jamaa wa Maulinzi...?Mmmmmh we babuu
Usinikumbshe ile kampeni wakati anaingia TieFueFuUsinambie hukujua kama Bishanga ndo Jamaa wa Maulinzi...?
Usinikumbshe ile kampeni wakati anaingia TieFueFu
Natumai mnamtembelea huko lupangoUsinambie hukujua kama Bishanga ndo Jamaa wa Maulinzi...?
Siyo sheria aiseeNatumai mnamtembelea huko lupango
Bado my kubadilishaTatizo huku jf wale wahenga wote wana majina mengine;
si unajuwa hali ilivyo so kila mtu anajihami;