Madam B, Arushaone , Mamndenyi et al mpo wapi wakuu?

Madam B, Arushaone , Mamndenyi et al mpo wapi wakuu?

Ha ha ha sijui yupo wapi sijui yupo kivingine I miss him sana, Baba V mhenga mwenzio Bishanga yukwapi eti
We angalia utapimwa mkojo... Bishanga hivi sasa yuko lupango kwa matumizi mabaya ya ofisi ya tiefuefu... huoni siku hizi Yanga mambo yamewadodea?
 
Back
Top Bottom