Madam B, Arushaone , Mamndenyi et al mpo wapi wakuu?

Madam B, Arushaone , Mamndenyi et al mpo wapi wakuu?

Mr Rocky, habari za siku tele?
Duuu, kumbe uko single bado;
by the way pole na yale yaliyokukuta japo ni muda mrefu umepita;

Mie nimeamua kulala mbele na mshana jr, walao awe ben10 wangu;
wakati mie nahubiri injili yeye atahudumia upande wa pili.
Asante sana aise
Ilikuwa pigo sana ila ndo hivyo lazima maisha yaendelee
mshana jr tena mbona atakuwa anakulaza makaburini kila siku au porini kwenda kutafuta dawa kila siku
 
Back
Top Bottom