Madam B, Arushaone , Mamndenyi et al mpo wapi wakuu?

Madam B, Arushaone , Mamndenyi et al mpo wapi wakuu?

Nimestaafu kukagua bhana. Vibinti vya miaka 14 havina bikra. Sasa si nitafia kinenani?

Ulikuwa wapi siku zote hizi?
Ha ha haaaaa.... Nilikua na majukumu mengine hata nikasahau password ya kuingia huku
 
Mr Rocky, habari za siku tele?
Duuu, kumbe uko single bado;
by the way pole na yale yaliyokukuta japo ni muda mrefu umepita;

Mie nimeamua kulala mbele na mshana jr, walao awe ben10 wangu;
wakati mie nahubiri injili yeye atahudumia upande wa pili.
hahaaa mshanajr awe ben10 wako tena ?!? na ukubwa wote ule .inamaana wewe utakuwa sawa na bibi Cheka au !??
 
Back
Top Bottom