Kumbe neno madam lina umri wake? Nkua sijui....eeeh elimu ni bahariHaaaa haaaa kaisha kuwa maadam juzi juzi tuu alikuwa ana Sema Ana miaka 17
Daaah zamani sana nilishapita hapo kipindi yupo perfect version anasoma
we jamaa muongo sana
Kumbe ni kazuri hivi !!!!!!!
Daaah zamani sana nilishapita hapo kipindi yupo perfect version anasoma
hahaha! noma sana