Madam Lulu katika birthday ya DJ RJ

Madam Lulu katika birthday ya DJ RJ

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Screen-Shot-2015-08-17-at-4.36.24-AM.png
 
Kbaki na Tanzanite tu masikioni, atamkumbuka Marehemu Seki kwa kumremba pia.
 
Kumbe dayamond anagonga vitu vikali ...si alisemaga hatumii kilevi chochote huyu?
 
ndo nashangaa! yeye madee,nick wa pili, g nako eti wanadai hawapigiga vyombozzzz
 
Hako kanguo keupe kwa mbaaliiiiiiiiiii katikati ya mapaja kameonekana
 
Daaah zamani sana nilishapita hapo kipindi yupo perfect version anasoma
 
Kwenye eneo la tukio Inaonekana sarakasi zake si mchezo haka ka bwana mdogo, Maana daaahhh!!!!:wink2:
 
Back
Top Bottom