Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Uamuzi upi ungesaidia kubadili nchi

DJ sepetu
Maamuzi ni mengi
. Kusimamia vyema rasilimali za nchi zitumike ili hali serikali inafaidi
. Kupunguza utitiri wa magari ya ghali kwa wanasiasa.
. Kuwalipa watumishi vizuri ili iwe rahisi kuwabana na wafanye kazi vyema.
. Kuimarisha mifumo ya ulipaji kodi.
. Kutoa elimu bora hasa elimu kwa vitendo
 
Usingekuwa mwl Leo ungekuwa nani

DJ sepetu
 
Mojawapo ya tatizo sugu nchin ni ajira!
We unalitazamaje hili

DJ sepetu
Kwanza aim na goals za education in Tanzania sio kuajiriwa na serikali (kasome hii)
Nafikiri viwanda vingi vikifinguliwa vitawapa vijana nafasi ya kuzalisha mali, kufanya kazi viwandani na kusambaza bidhaa.

Japo vijana wengi ni wavivu wa kufanya kazikufikiri, huchagua kazi na kuishi katika ulimwengu wa kufikirika hawataki kuanzia chini
 
Wapo waliofanya yote lakini wakaanguka!!
Unawapa advice gani

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…