Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kilimo, uwakala kwenye kampuni za simu 4, n. kMbali Na ajira unajishughulisha Na nn
DJ sepetu
Maamuzi ni mengiUamuzi upi ungesaidia kubadili nchi
DJ sepetu
Biashara na kilimoIlitokana Na mkopo au biashara nk
DJ sepetu
Nalima kwa upepo sina zao maalumu ila mazao ya chakula. Na silimi misimu yote.Unalima nn
DJ sepetu
Utaambulia magwangala dhahabu tulisha chenjua yote..!Ila kweli mambo yetu ya pm yaishie huko huko pm.
Vipi siku yako imeanza swalama.?
Kwanza aim na goals za education in Tanzania sio kuajiriwa na serikali (kasome hii)Mojawapo ya tatizo sugu nchin ni ajira!
We unalitazamaje hili
DJ sepetu
Mimi ni mwalimu by professional but kazi kubwa nnayoitegemea sio ualimuUsingekuwa mwl Leo ungekuwa nani
DJ sepetu
Kilimo nilipata hasara laki 9Uliwahi ingia hasara ktk kilimo ama biashara!!?
Tsh ngapi
DJ sepetu
Wapo waliofanya yote lakini wakaanguka!!Kwanza aim na goals za education in Tanzania sio kuajiriwa na serikali (kasome hii)
Nafikiri viwanda vingi vikifinguliwa vitawapa vijana nafasi ya kuzalisha mali, kufanya kazi viwandani na kusambaza bidhaa.
Japo vijana wengi ni wavivu wa kufanya kazikufikiri, huchagua kazi na kuishi katika ulimwengu wa kufikirika hawataki kuanzia chini