Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Nilijua ni magumu kumbe ni ya mazoea tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Saint Ivuga kashanitongozea mademu wangu wanne hapa... mi nimeamua kumwachia shetani asemezane naye.
Watoto 8, sijutii malezi 96% yameniimarisha
Rafik angu upo etii jana ivuga aliniambia una id nyingineNilishakuambia watu ambao hawana chura kama wewe hawatakiwi JF ila nashangaa bado unarandaranda huku tu!![emoji32][emoji32][emoji32]......ole wako nitakapokuwa mods mwakani!
Nlitegemea akuulize... kati ya hawa watatu nani atazaa kabla ya mwingine, na kwanini?Nilijua ni magumu kumbe ni ya mazoea tu
Ni somo gani ulilipenda sana primary Na lipi ulilichukia!?
Nini sababu
DJ sepetu
Kutimiza madhumuni ya uwepo hapa duniani kwa ajili yangu na watu wanaonihitaji mimi kama mkombozi wao kwa nguvu za Aliye juu.Maisha kwako yana maana gani
DJ sepetu
Kuwa Mwalimu na nimefanikiwaUkiwa mtoto ulikuwa Na ndoto za kufanya kaz gani!?
Je umefanikiwa!?
DJ sepetu
Asee, hii vitaWe nyo...ko!
DJ sepetu
aaaah kutishana huku we babu hiyo miguu hutazami mara mbili.Aisee... kumbe baba yako si mtu mzuri kabisa asee
Ndio, form three nililia sana akaniomba msamaha.Uliwahi kutongozwa Na mwalimu wako!?
Ulikuwa darasa au kidato gani
DJ sepetu
Rafiki chura ipo?Rafik angu upo etii jana ivuga aliniambia una id nyingine
Yule tajiri wa Jf? Hajawahi aisee ila nataka nijitongozeshe maana hata hanioni pamoja na kujipitishaHivi wewe hujawahi tongozwa na Saint Ivuga ?