Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Madam mwajuma on muosha rungu live TV show!!

Yule tajiri wa Jf? Hajawahi aisee ila nataka nijitongozeshe maana hata hanioni pamoja na kujipitisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Wahi upesi akupe upako kabla nguvu hazijamuishia
50122
 
Nilikuwa sijawahi, na niliona ni dhambi kubwa mwalimu kumwambia hivyo mwanafunzi ilikuwa kidogo niseme kwa headmaster aliomba radhi sana.
Nini huchangia walimu kutongoza wanafunzi wao!
Kosa ni la nani
Nn tiba

DJ sepetu
 
Nini huchangia walimu kutongoza wanafunzi wao!
Kosa ni la nani
Nn tiba

DJ sepetu
. Wengine vijana wadogo bado wana balehe
. Kosa ni mwalimu maana yeye anaelewa maisha zaidi ya mwanafunzi yapasa amsaidie.
. Walimu wajitahidi kujizuia matamanio yao na wanafunzi baadhi waelimishwe waache kuwatega walimu wao.
 
Ukiwa mwalimu mzoefu !!
Uliwahi shudia hii eneo lako la kazi
If yes ulichukua hatua zipi

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom