Hehee niko napambana na hali yangu kitaeleweka tuNilishakuambia watu ambao hawana chura kama wewe hawatakiwi JF ila nashangaa bado unarandaranda huku tu!![emoji32][emoji32][emoji32]......ole wako nitakapokuwa mods mwakani!
we leo kukupa uhuru imekuwa tabu..ntakufungia ndani asa hivi[emoji38] [emoji38]Yeye ni Madam Mwajuma
Yule tajiri wa Jf? Hajawahi aisee ila nataka nijitongozeshe maana hata hanioni pamoja na kujipitisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa sijawahi, na niliona ni dhambi kubwa mwalimu kumwambia hivyo mwanafunzi ilikuwa kidogo niseme kwa headmaster aliomba radhi sana.[emoji23] [emoji23] kwann ulilia!!?
Uliogopa nn
Je ulikuwa bikra!?
DJ sepetu
Mwanamke roho safi na kauli chura hata china unapata
Tangu unisaliti kwa kale kazungu kako, sina hamu tena na wewewe leo kukupa uhuru imekuwa tabu..ntakufungia ndani asa hivi[emoji38] [emoji38]
Basi sawa[emoji23] [emoji23] kwako ila babu ananijua mjukuu!
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
. Wengine vijana wadogo bado wana baleheNini huchangia walimu kutongoza wanafunzi wao!
Kosa ni la nani
Nn tiba
DJ sepetu
Ukiwa mwalimu mzoefu !!. Wengine vijana wadogo bado wana balehe
. Kosa ni mwalimu maana yeye anaelewa maisha zaidi ya mwanafunzi yapasa amsaidie.
. Walimu wajitahidi kujizuia matamanio yao na wanafunzi baadhi waelimishwe waache kuwatega walimu wao.
Oh[emoji23] [emoji23] [emoji23]Subiri kwanza nimalize lishe... Mi nafanyiwa intavyuu usiku wa manane
Madam umeona eeh? Huyu mwanaume sijui wa wapi huyyMwanamke roho safi na kauli chura hata china unapata