Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
24.3yrs hivi[emoji23] [emoji23] nimekuuliza ulianza mapenzi ukiwa Na miaka mingap
DJ sepetu
HahaaIvuga mwambie ache kunifuatafuata nyuma..! Kila ninapopita nikigeuka namwona nyuma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
IgnoreHuoni interview unahangaika Na jina langu!
DJ sepetu
Nilikuwa sijawa tayari, na niliamini kuanza mapenzi kungesitisha ndoto zangu. Nilivyofikia tu ndoto nikaonjaMbona ulichelewa!
Nini ulikuwa tatizo
DJ sepetu
Imagine...nimeipenda hii picha aisee..imagine walikuwa wote tangu vijana wadogo mpaka hapo..
inavutia[emoji4] [emoji4] [emoji7]
sisi miaka miwili ndoa chalii
. Sitosahau nilinusurika kuolewa na mtu wa wathifa, msomi kumbe ni mganga wa jadi na tunguli.Ni kitu gani hutokisahau maishan kilichokutokea cha kufurahisha Na cha kuhuzunisha
DJ sepetu
Sijawahi kusaliti mpenzi katika maisha ila nataka hadi mwisho wa mwaka huu nipige mechi moja matata ya usaliti.Unahisi mtu uliyenaye ndiye!?
Ushawahi msaliti!
DJ sepetu
Unahisi mtu uliyenaye ndiye!?
Ushawahi msaliti!
DJ sepetu
Inna interview yako lini? Nina maswali matatu tu!Saint Ivuga njoo kwa rafik ako mwajuma si ulikua unamtongoza asbh.
Tatizo sasa hivi uvumilivu ziro,wazee wetu walivumiliana sana,walikua watunza siri wazuri
[emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Imagine...
[emoji23] [emoji23]Saint Ivuga kashanitongozea mademu wangu wanne hapa... mi nimeamua kumwachia shetani asemezane naye.