Yupo mjusiRafiki chura ipo?
Ulilia kwa sababu zipi?Ndio, form three nililia sana akaniomba msamaha.
Sister mambo vp?Sitaki tena hicho kituko..nimekipiga chini[emoji41] [emoji41]
Saint Ivuga mkwara! Kamtongoza MTU.Saint Ivuga kakataa etiiiii, badae uje kule kwetu mida ile ya popo ntakujibu
Nani tena kamtongoza?Saint Ivuga mkwara! Kamtongoza MTU.
Shoga yake dada upo?Acha shobo we kale ugoro ulale[emoji13] [emoji13]
Madam mwajumaNani tena kamtongoza?
We ni nani
DJ sepetu
Duhh.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Yeye ni Madam Mwajuma
Field Force.
Hahahahaha dah!Duhh.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Muhenga katika nafasi yako...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Words....Baba kaniathiri kitabia sana hasa ya kuwa genuine, kufanya kazi na kujitegemea ni philosophy ya familia.
Uliye mpiga chini je?Ninakuhitaji mtoto mzuri tuwashe penzi kama moto
WordKutimiza madhumuni ya uwepo hapa duniani kwa ajili yangu na watu wanaonihitaji mimi kama mkombozi wao kwa nguvu za Aliye juu.
Sawasawa...Nilikuwa sijawahi, na niliona ni dhambi kubwa mwalimu kumwambia hivyo mwanafunzi ilikuwa kidogo niseme kwa headmaster aliomba radhi sana.
Duhh....[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Sijawahi kusaliti mpenzi katika maisha ila nataka hadi mwisho wa mwaka huu nipige mechi moja matata ya usaliti.
Wachawe......[emoji2] [emoji2] [emoji2]Nafanya regional au international betrayal. Haiwezi fikia hapo halafu mechi moja tu heavy basi