sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Edit post watu wakuelewe madamKamaya fursa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Edit post watu wakuelewe madamKamaya fursa
Wa kongo wamenielewaEdit post watu wakuelewe madam
Huko kwa mshana anajihangaisha.Hahaha uoga wako wa bure kabisa.. Mimi huwa naridhika na kile nnachokipata sina tamaa ya fisi...ila kama mkeo yuko karibu na Mshana basi ngoja nitulize mshono maana nisijeamka siku nakuta sura ya chini imehamia juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtamu wangu sasa tunafanyaje??Kamata fursa
Habari za AsubuhiWa kongo wamenielewa
Hamna pambano linakuwa na sessions ya kula, kunywa, kucheza n. k
Halafu hawezi fika huko ntakapokuwa. Ni sawa na kupanga fumanizi ikulu
Wish mauno mema.Hahah!, haki ya nani!
Hata sijui niku wish nini..
SalamaHabari za Asubuhi
Mi sio mtamuMtamu wangu sasa tunafanyaje??
Tumeipanga mwezi wa kumi na mbili mauritius.Sijawahi kusaliti mpenzi katika maisha ila nataka hadi mwisho wa mwaka huu nipige mechi moja matata ya usaliti.
Huhusiki hapo usijichomeke kinyemela.Tumeipanga mwezi wa kumi na mbili mauritius.
Hii show itakuwa matata sanaaa
Ukinigawa bure hasara chukua hata ka wine ubaki unajiliwaza
Hahaha
Ukinigawa bure hasara chukua hata ka wine ubaki unajiliwaza
Ila kweli mambo yetu ya pm yaishie huko huko pm.Huhusiki hapo usijichomeke kinyemela.
Na wewe unatumia hii kitu?Ukinigawa bure hasara chukua hata ka wine ubaki unajiliwaza
Nalendwa watumia wine gani? White red?Hahaha!, sawa mamie wine ndo yenyewe!