Madam Rita afichua siri: "Nilizaa katika umri mdogo sana"

Madam Rita afichua siri: "Nilizaa katika umri mdogo sana"

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi akafanikiwa.

Kupitia Facebook, Madam Rita amewashauri wasichana wanaojikuta katika katika hali hiyo kutokata tamaa kwakuwa bado wanaweza kufanikiwa.

Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi, nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu.

Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo.Kukataa tamaa isiwe ndio chaguo lako la kwanza, aliandika Rita.
 
Alizaa na nani na mtoto yupo wapi? Lakini asijilanganishe na wanawake wengineo wa kizawa Tanzania kwani yeye siyo asilimia 100 mzawa, kwa vile mzazi wake mmoja ni mzungu, na atakuwa amerithi social and economic privileges za ngozi nyeupe ama moja kwa moja kutokana na uwezo wa mzazi/wazazi/ndugu au indirectly kutoka jamii ya Kitanzania inayothamini ngozi nyeupe dhidi ya nyeusi on sight.
 
Wanawake wangapi wanaitwa Paulsen ama Nielsen zaidi ya machangudoa wa Kinondoni haswa Q-bar na clubs za Masaki waliozaa na Wazungu?
 
Ujumbe mzuri sana kwa hakina dada na wengine wanaokata tamaa.
 
Big up madam,kukata tamaa ni dalili ya kushindwa kuufanya ubongo wako usiwe active ktk kufikiri ni kwa namna gani utaweza kujikwamua kutoka ktk tatizo husika.
 
Acha unafiki wewe madam ritha. Hebu wafundishe mbinu gani ulitumia wewe kuweza kufanikiwa baada ya kupata mimba na umri mdogo? Au kuwa GOLD DIGER ndo mbinu unayotaka kuwafundisha mabinti wadogo kufanikiwa? Waambie waache umalaya wajitume kimasomo. Siyo kila binti anabahati ya kuwa successful gold diger kama wewe kwani competition ni kubwa mno, wewe mwenyewe umeshuhudia jinsi gold digger mwenzio Jackline alivyokupiga knockout. Mtaishia kutiwa na waganga wa kienyeji wote nchini hapa na mwisho wa mkataba miaka thelasini.
 
Samahani kama ntakukwaza hizi habari waachie kina Dada si vizuri kwa watoto wa kiume kuongelea mambo kama Haya tena unaanzisha na thread kabisa ni ushauri tu cc: Salamander
 
Last edited by a moderator:
samahani kama ntakukwaza hizi habari waachie kina Dada si vizuri kwa watoto wa kiume kuongelea mambo kama Haya tena unaanzisha na thread kabisa ni ushauri tu cc: Salamander

wewe ni mburula kweli apa kuna ujumbe mkubwa sana kwamba wadada wasiwe wanakata tamaa ya maisha wanapopata vikwazo.

wewe hakuna kitu umeelewa zaidi ya kuwaza umbeya tu ebu angalia ujumbe
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha madam kumbe watu wameanza kukugegeda ktambo xana eeeeh...alifaidi xana uyo mwana
 
samahani kama ntakukwaza hizi habari waachie kina Dada si vizuri kwa watoto wa kiume kuongelea mambo kama Haya tena unaanzisha na thread kabisa ni ushauri tu cc: Salamander

Usiwe unaingia humu kama unakwazikaaaa mbona we huyaleti hayo unayoona ni ya kiume banaaaa usiwapangie wenzio cha kusemaa maana hujalazimishwa kuingiaa humuuuu
 
Last edited by a moderator:
Usiwe unaingia humu kama unakwazikaaaa mbona we huyaleti hayo unayoona ni ya kiume banaaaa usiwapangie wenzio cha kusemaa maana hujalazimishwa kuingiaa humuuuu

poa Dada point taken
 

Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi akafanikiwa.

Kupitia Facebook, Madam Rita amewashauri wasichana wanaojikuta katika katika hali hiyo kutokata tamaa kwakuwa bado wanaweza kufanikiwa.

“Jambo mmoja msilofahamu kuhusu mimi,Nilipata ujauzito nikiwa na umri mdogo sana. Kwa jamii yetu inayotuzunguka, ukizaa katika umri mdogo, watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu. Kwa umri ule niliona ni kama hamna tena maisha kwangu lakini sikukata tamaa na leo hii ujasiri wangu na kitu kinachonipa msukumo wa maisha hadi kufika hapa nilipo ni hicho kilichonikuta nikiwa na umri mdogo.Kukataa tamaa isiwe ndio chaguo lako la kwanza,” aliandika Rita.

Huyo mama anapenda kujiona mdogo,hautaki uzee kabisa kila siku anajiludisha nyuma wakati ana miaka sitini
 
Alianza uhuni akiwa mdogo sana ndo maana alipachikwa mimba ana miaka michache hivo

Kuna watu mnaongea kana kwamba huwa mnatolewa na kurudishiwa utumbo na ubongo kila baada ya saa ishirini na nne.

Madam hapa ame play part yake kama kioo cha jamii......pia kuwa na mtoto sio jambo la siri.....kuna maelfu ya kina dada wanaopitia maisha kama hayo (na usiwe mnafiki kujifanya ufahamu hilo)...wengi wanaishia kukata tamaa na kuangamia kabisa...plus wale housegirls mnaowapa mimba na kuwarudisha vijijini.

THERE IS ALWAYS HOPE...IF YOU STAND UP AND KEEP ON WALKING...huu ndio ujumbe anaotoa madam kwa maelfu ya kina dada (mothers)...........such an inspiring story to share with......

Wewe ongea tu unavyopenda kujifurahisha nafsi yako...ila atakapokuja yule mjomba wako na kukuelezea jinsi mama yako alivyotoa mimba zisizohesabika tangu akiwa shule ya msingi mpaka ulipokuja kuzaliwa, hata muda wa kuandika huku JF usingepata.....ungekuwa unaomboleza kwa maisha yako yote yaliyobaki.

Si una dada...mama wadogo n.k.......just keep on talking.

........SHAME ON YOU.......
 
Back
Top Bottom