Madam Rita ateseka siku 365 Muhimbili

Madam Rita ateseka siku 365 Muhimbili

muhimbili sijakanyagi tena pake ashukuru mungu hawajampasua kichwa.mwezi wa 1 nilienda nikakutana na docta kalewa anataka kunichoma sindano ikabidi niombe kubadilishiwa docta tu akaja kibint kidogo nikaona bora huyo
Sasa imagine kitu kama hiki na bado mtu anatetea. Laiti kama kila mmoja atakuja kushare experience ya Muhimbili au sijui Mwananyamala unaweza kubaki mdomo wazi. Kuna uzembe wa hali ya juu unaendelea kwenye hizi hospitali na hakuna hatua zinazochukuliwa na ukihoji sana watakwambia hawalipwi vizuri. Sasa daktari unaendaje kuhudumia mgonjwa ukiwa umelewa? Ina maana mkuu wake wa Idara hana taarifa au mpaka aumie mtu mwenye jina ndio hatua zichukuliwe? Inakera sana
 
Back
Top Bottom