MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
- Thread starter
- #21
Kaka hapo umeongea point kubwa sana hebu wajaribu kulisikiliza tena hii making of video(behind the scene) au lugha pia ni tatizo Zantel ndyo aliyedhamini kila kitu na c madam ritha!!
Mi nachoitaji ni ufanisi wa benchmark productions as wangekuwa kweli wanaweza kazi na imani hata mdhamini awe nani angetoa tenda kwao au kwa ingine na pia tangazo sio World class adverts kiasi cha kushindwa kufanya tanzania.. Ni lipo simple and straight in term of storyline, environment, and peoples around... Ndo maana hata wahind wakaseti tu location ndan sehem moja na kufanya simple in just a day..
Sasa kama benchmark na kampuni zingine za kibongo zinashindwa kufanya simple adverts za aina hiyo haina maana ya kwenda kazini ni bora wafunge ofisi tu..
Jaman let's talk about proffessionalism hivi kweli tunaendelea au tunapotelea maana kila kitu hatuwezi