Madam Rita Paulsen na Benchmark Productions kwa hili mmetia aibu

Kaka hapo umeongea point kubwa sana hebu wajaribu kulisikiliza tena hii making of video(behind the scene) au lugha pia ni tatizo Zantel ndyo aliyedhamini kila kitu na c madam ritha!!

Mi nachoitaji ni ufanisi wa benchmark productions as wangekuwa kweli wanaweza kazi na imani hata mdhamini awe nani angetoa tenda kwao au kwa ingine na pia tangazo sio World class adverts kiasi cha kushindwa kufanya tanzania.. Ni lipo simple and straight in term of storyline, environment, and peoples around... Ndo maana hata wahind wakaseti tu location ndan sehem moja na kufanya simple in just a day..

Sasa kama benchmark na kampuni zingine za kibongo zinashindwa kufanya simple adverts za aina hiyo haina maana ya kwenda kazini ni bora wafunge ofisi tu..

Jaman let's talk about proffessionalism hivi kweli tunaendelea au tunapotelea maana kila kitu hatuwezi
 
Kwa sababu ni hela zake
hamna shida. Ni kama Simba, Azam na Yanga zinavyochukua makocha kutoka
nje wakati hata Tanzania kuna Makocha.

Aache kudanganya mkuu,maana mi niliamini ni kampuni yake imetengeneza kumbe mh!
 
Nafikiri si madam Ritta bali kampuni ya Zantel ndo ilidhamini hilo tangazo na kugharimia kila kitu...
Tusipende kujamp kwenye conlusion..

your very right ,spelling correction ,kujump-not kujamp,na conclusion wala si conlusion,otherwise its true what you say.
 

Ningeku LIKE, bahati mbaya nimetumia simu.
Unajua wabongo tumezoea kuponda wakati sisi wenyewe tunaoponda hatuna tunachokifanya. Umetoa somo zuri. Watanzania tubadilike tuwe na appreciation na tujifunze kwa wengine pia km kina RITA.
 
Kwani Tatizo Lipo Wapi ??? Mfano AUDI AG ndio wanatengeza Lamboghini ..President wake anatumia AUDI,BMW,Fiat na Lamboghini ..

Don't hate this is Business they have to impress Sponsors

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hata babako alishindwa kum...mama yako aka import babako mwingine?

acha ujinga arifu
 
Watu wangeichukulia hii kama changamoto kwa makampuni yetu ya ndani,mjadala ungekuwa wa kujenga sana...ivi ata Adam Juma wa Visual Lab alishindwa kutengeneza tangazo kama lile mpaka pesa ipelekwe India?????
 
Watu wangeichukulia hii kama changamoto kwa makampuni yetu ya ndani,mjadala ungekuwa wa kujenga sana...ivi ata Adam Juma wa Visual Lab alishindwa kutengeneza tangazo kama lile mpaka pesa ipelekwe India?????

Kaka sema na wewe, maana wabongo ni wabishi,,, yaan storyline ipo straight lakin wabongo wameshindwa kufanya..

Hii nchi kuendelea ni baadae sana kama kila kitu hadi tufate nje ya nchi
 
unemployment in tanzania is a big deal in such a way?
Compleigning about which why when how whom whose where in cheap issues alike its discusting!
 

EPIQ wenyewe ndio wanamtayarishaji wao wa matangazo INDIA, kwa hiyo wanataka kumaintain standard ya matangazo yao,sio Ritha na kampuni yake wanatia aibu,wenzako wanapata umateumate wewe unchonga pole sana ndugu,inabidi uende kozi ya masoko na viwango.
 
Hiyo ni business kwa hiyo ana chagua wakufanya nae, mbona haujashangaa wasanii wetu kufanya videos na makampuni ya south Africa!
 
Si nasikia Bongo Movie huwa wanatumia Nokia kushuti movie zao, kwahiyo ndio mlitaka na Ritta afanye hivyo? anyway ningekuwa karibu na mimi ningempa mchongo hilo tangazo wangelifanyia South Africa kwa gharama nzuri tu.
 
Hiyo ni business kwa hiyo ana chagua wakufanya nae, mbona haujashangaa wasanii wetu kufanya videos na makampuni ya south Africa!

Nani kafanya video na makampun ya south?Nachoelewa mimi Ay,Cpwa na Dimpoz wote walisafiri na Adam wa Visual Lab
 
Itabidi tumuulize Antu mandoza anaekata maunokwenye hiyo advert kama alikwea pipa kwenda Mumbai na kama alikwenda sijui kama SJ alimwacha
 
Jamani watu wengi hamjamuelewa mtoa mada.... Anachosema ni kwamba Rita na kampuni yake anatengenez matangazo.sasa kwa nn tangazo la kipnd chake anatolea nje? Kwanza n vry costful na n la kawaida tu na pli ingekuwa n opportunity kwa madam kutangaza kaz zake kwan ebss inaangaliwa sana bongo so kutengeneza tangazo kungempa soko... Kupeleka watu kwenda india kutengeneza tangazo kama lile n wastage of resource so madam ajifunze kwa hilo
 
me nashindwa kuelewa productions za indiaktk filamu ziko respected worldwide n money z there spend t
😛hoto:😛hoto:
 
Labda ndo mwendelezo wa ukanjanja, hata kazi zilizopita anazitoa kwa jina la kampuni yake lkn actually zinafanywa nje na wengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…