Madam Rita wa Bongo Star Search

Ndio ikabidii bongo star search ianze kuonyeshwa kwingine 😁😁😁😁

Babuu alimpandishia gharaama zakuonyesha kipindi chakeee coz nakumbuka pind bongo star search ilipo hamia tbc watuu walimuhojiii akasemaa kulekwinginee wamempandishia gharama za kuonyesha kipind chakee..
 
Wakati wa mahusiano inawezekana terms zilikua lege legeee.. Baadae baada ya break up mambo yakakazwa

Haaa Madam alikasirika kuona machache kavuta kitu hot hot K lyn baada ya kuachana Halafu ukiangalia K lyn na Madam Rita were besties back then.....
 
MI najua tu aliwahi kubakwa na ni ex wa mengi, lowasa na ni mkurugenzi wa benckmark production
 
Aliwahi kutoka na Reginald Mengi,

Pia amewahi kutoka na msanij Ali Kiba.. Alimfumania na demu fulani mapenzi yao yakaisha hapo

Sasa ivi nasikia bongo star search itaonyeshwa clouds na star Tv, mmh madame anavyohangaika mpaka CTN ataenda mwaka huu, naona TBC kashaharibu tena

Mic you binamu
 
Sasa ivi nasikia bongo star search itaonyeshwa clouds na star Tv, mmh madame anavyohangaika mpaka CTN ataenda mwaka huu, naona TBC kashaharibu tena

Mic you binamu

Sio kwa kuadimika huko binamu Miss you too

Bora alivyoitoa TBC.. Maana mnaweza kua mnasubiri kipindi unashangaa leo kipindi kitachelewa .. Kuna kipindi cha kilimo cha mbogboga kwanza...
 
Huu uzi hauta amka kesho. Utakua CLOSED.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…