Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Naona toka babu amwage huyu mama na BONGO STAR SEARCH nayo ikafanya. Huyu Babu noma.
Si hiyo inaanza tena kwa kasi ya ajabu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona toka babu amwage huyu mama na BONGO STAR SEARCH nayo ikafanya. Huyu Babu noma.
Ndio ikabidii bongo star search ianze kuonyeshwa kwingine 😁😁😁😁
Ana watoto wawili according to interview yake aliifanya na FEMA
Ndio ikabidii bongo star search ianze kuonyeshwa kwingine 😁😁😁😁
Aliwahi kutoka na Reginald Mengi,
Pia amewahi kutoka na msanij Ali Kiba.. Alimfumania na demu fulani mapenzi yao yakaisha hapo
Aliwahi kutoka na Reginald Mengi,
Pia amewahi kutoka na msanij Ali Kiba.. Alimfumania na demu fulani mapenzi yao yakaisha hapo
Babuu alimpandishia gharaama zakuonyesha kipindi chakeee coz nakumbuka pind bongo star search ilipo hamia tbc watuu walimuhojiii akasemaa kulekwinginee wamempandishia gharama za kuonyesha kipind chakee..
Si ni mkubwa kwa ali?
Kumbe Ali kibaka ni mario eeeh
Age is just a number... They say
Aliwahi kutoka na Reginald Mengi,
Pia amewahi kutoka na msanij Ali Kiba.. Alimfumania na demu fulani mapenzi yao yakaisha hapo
Si hiyo inaanza tena kwa kasi ya ajabu....
Sasa huyo na ali nani mkubwa au unajua umri wake ni miaka mingapi?
Sasa ivi nasikia bongo star search itaonyeshwa clouds na star Tv, mmh madame anavyohangaika mpaka CTN ataenda mwaka huu, naona TBC kashaharibu tena
Mic you binamu
Sio kwa kuadimika huko binamu Miss you too
Bora alivyoitoa TBC.. Maana mnaweza kua mnasubiri kipindi unashangaa leo kipindi kitachelewa .. Kuna kipindi cha kilimo cha mbogboga kwanza...
Hahahaha kitafuata cha Pinda na Zabibu zake za Dodoma
Sio kwa kuadimika huko binamu Miss you too
Bora alivyoitoa TBC.. Maana mnaweza kua mnasubiri kipindi unashangaa leo kipindi kitachelewa .. Kuna kipindi cha kilimo cha mbogboga kwanza...
Ukishajua hela za Escrow zitarudi?