Madam Rita wa Bongo Star Search

Hii prejudice huwa siifurahii kabisa!

Msichana mdogo akiolewa na babu yake its just love

Masela tukiruka na ma bimkubwa utasikia ''wanapenda kweli umarioo''

Its totally unfair
Hapo kuna vitu viwili, kuna vijana marioo kweli na kuna vijana wanaopenda ma heavy duty
kama nuhu mziwanda sio marioo ila mfalme ni marioo
 
Babuu alimpandishia gharaama zakuonyesha kipindi chakeee coz nakumbuka pind bongo star search ilipo hamia tbc watuu walimuhojiii akasemaa kulekwinginee wamempandishia gharama za kuonyesha kipind chakee..
miss aliyeolewa na machache alimpiga biti mzee aindoe bss,wivu wa mapenzi na kulinda koloni lake
 
kwa iyo kumbe k lyn ni mbayaaaaaaaaaa....... she was waiting like an eagle for the perfect opportunity to pounce and how well she did it, from twins to marriage mzee alikua anapelekwa puta akajikuta kaoa kabisa!!!
inawezekana madam rita alikuwa anapiga vidonge vya uzazi, machache kafundishwa katerero na bibie changanya na kelele za mahaba
 
Sidhani kama itapata umaarufu iliyo upata pale ITV..halafu imeyumba sana...

Umaarufu wa kipindi kile hautokuja tokea... Kipindi kina Jumanne Iddi sijui yuko wapi siku hiziii.. .. ...

Ila madam Ritta nadhani ndio aliweka chachu kwenye hayo mambo ya kutafuta vipaji
 
thread closed

Haaahaaahaaa Haaahaaahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…