PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Teh Teh...mkuu ya kweli haya?
Miaka 46 mingi.Ali Kiba mtu mzima yule angekuwa mwanamke saa hizi na yeye anawajukuu hivi si unaona Madam Rita mwenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh...mkuu ya kweli haya?
Ni dada au ni mama?
Kwanini sasa inaoneshwa kituo gani?
star tv
Hapo kuna vitu viwili, kuna vijana marioo kweli na kuna vijana wanaopenda ma heavy dutyHii prejudice huwa siifurahii kabisa!
Msichana mdogo akiolewa na babu yake its just love
Masela tukiruka na ma bimkubwa utasikia ''wanapenda kweli umarioo''
Its totally unfair
miss aliyeolewa na machache alimpiga biti mzee aindoe bss,wivu wa mapenzi na kulinda koloni lakeBabuu alimpandishia gharaama zakuonyesha kipindi chakeee coz nakumbuka pind bongo star search ilipo hamia tbc watuu walimuhojiii akasemaa kulekwinginee wamempandishia gharama za kuonyesha kipind chakee..
inawezekana madam rita alikuwa anapiga vidonge vya uzazi, machache kafundishwa katerero na bibie changanya na kelele za mahabakwa iyo kumbe k lyn ni mbayaaaaaaaaaa....... she was waiting like an eagle for the perfect opportunity to pounce and how well she did it, from twins to marriage mzee alikua anapelekwa puta akajikuta kaoa kabisa!!!
Miaka 46 mingi.Ali Kiba mtu mzima yule angekuwa mwanamke saa hizi na yeye anawajukuu hivi si unaona Madam Rita mwenzake
Sidhani kama itapata umaarufu iliyo upata pale ITV..halafu imeyumba sana...
Hahahahahahahaha umenichekesha haha jamanii humu ndani😆😆😆😆kipindi cha mboga mboga kwanza😆😆😆
Ila anaonekana mtamu sana huyo madam
hivi diamond akizeeka ule mdomo si utafika kifuani
Mhhhhh Bukwabi kumbe wapenda ubuyu enheeee
hivi diamond akizeeka ule mdomo si utafika kifuani
Si ana miaka 58 au?
hivi diamond akizeeka ule mdomo si utafika kifuani