Madam Ritha afichua bajeti ya kuandaa Bongo Star Search. Ni Milioni 700 mnaweza kuamini?

Unajua shida iko hapa, practically anayefanya ni yeye, anaweza sema chochote tukawa hatuna pakulinganisha maana so far anayefanya kitu hicho ni yeye, walikuja bongo muvie na wao wakajaribu kusaka vipaji sijui walitokomea wapi, mimi sisemi milion 700 ni ndogo au ni nyingi, kwani mshindi wa mashindano hayo anakunja mia ngapi?
 
Zamani sana mambo ya TV ila kama kipindi unaandaa mwenyewe huwa una say kubwa kwenye matangazo, kama Tangazo linalipia 1M kwa dk basi unaweza pata hata laki 7 na tv ikapata laki 3.

So piga mahesabu kuna matangazo mangapi kwenye kila show moja ya siku, zidisha kwa laki 7 halafu zidisha kwa wiki zote Kuanzia Audition hadi fainali utapata rough estimation wanapata kiasi gani.

Hapo bado wadhamini wengine wadogo wadogo.
 
Hakuna hata msanii mmoja aliyeshinda bongo star search akaliteka soko la Tanzania hilo pambana lina faida gani zaidi ya kuwadhalilisha washiriki tu.
 
Milioni mia 650 kwa ajili yao na milioni 50 ndio inafanya kampeni zima ya hicho kipindi ..
 
Hakuna hata msanii mmoja aliyeshinda bongo star search akaliteka soko la Tanzania hilo pambana lina faida gani zaidi ya kuwadhalilisha washiriki tu.
Kala Jeremiah
Bella kombo
Peter msechu
Kayumba
Sarafina

Sometimes it doesn't cost anything to give compliment
 
Kala Jeremiah
Bella kombo
Peter msechu
Kayumba
Sarafina

Sometimes it doesn't cost anything to give compliment
Soma comment yangu vizuri mfumo wanaotumia ni outdated kwanza wanadhalilisha washiriki hasa yule Salama mtu anakuwa mshindi kwa kuimba nyimbo za watu wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…