Madam Ritta nakupenda una moyo mzuri

evart

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
2,838
Reaction score
2,772
Habarini!

Nampenda huyu Mama ana moyo mwema sana ni mkarimu, anamoyo wa kujali vile vile ni mchangamfu hata kwa mtu asiye mfahamu.

Katika sanaa ya Tanzania kainua vipaji vingi sana sote tunajua hilo ni mchapakazi mzuri, mpenda amani asiye na makuu na yeyote.

Wabaya wachache wanajaribu kumchafua lakini wapi, wameishia kujipakaza mavi yao wenyewe .Sifa zake na uaminifu wake unambeba ,unatengeneza njia hata kwenye visiki

Isingekuwa kwa Msaada wako Madam Ritta Kala Jeremiah na msechu tungewajulia wapi?

Kayumba, Jumanne Iddi Menina na Walter wangejikwamuaje? Hamisi na Meshack wangetoboaje?

Wakati wengine wanafanya matusi ,wewe endelea kufanya kazi mwisho wa siku sifa zako njema zinaenezwa kila pembe ya nchi.

Kila la heri Madam wetu mpendwa Ritta Paulsen.
 
Sawa wanajulikana ila ela anayosema anawapa na wanavyoishi ni tofauti.
Jumanne IDD mshindi wa kwanza pindi inaanza sijui kama alimpa ela zake au alivyotunzwa jukwaan akitumbuiza ndo ilikua imetoka.

Ila bwana kazima uanze kufaidika mwenyewe ndo ukumbuke mwingine.

Kujulikana wamejulikana je, anawalipa kama inavyostahili??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…