Madam Ritta nakupenda una moyo mzuri

Hivi mmelipwa mje mumsafishe eeh!!?

Alipe hela za watu.
 
Write your reply...HALAFU MADAM UNAYUMBA KUMBE UNAWADHULUMU SANA WASHINDI WAKO HIYO TABIA ACHA ..KARIBU JF
 
Huyu mama dunia ya sasa si kama zamani ,akizima hela za watu hamna media na watangazaji wakipewa kidogo basi haki inapotea ,sasa hivi ukidhulumu hata YouTube unawekwa na hata waziri anakutafuta ,na pia sasa hivi kumekuwa na platforms nyingi za kufikia wakubwa ,mwaka hii mpaka kampa dogo mil 5 kwanza ina maana hana hela alikuwa anamkwepa akidhani ni kama zamani .unaendaa shindano kubwa na dogo wa watu umemkalisha miezi yote unakuja tena kumpa mil 5 nyingine mnaandikishana kumaliza.

Huyu mama sidhani kama atarudi mwaka huu na hiyo BSS
 
Kiukweli hata mimi ananivutia sijui kishaolewa. Anayejua namba yake ya simu anitumie
 
BSS ni hovyo, Hamna kitu sijui hata wanaimbaimba nini pale

Huyu Madam Rita nae ni tapeli, anafaidi pesa za matangazo lakini hawalipi vijana pesa zao.

Kumbafu wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amekulipa shilingi ngapi kuja kumpigia promo humu? mwambie awalipe stahiki zao washindi wa bongo star search kwanza kabla ya 'kujiosha osha' kwenye public
 
Nilichogundua kuwa watu wengi hapa hawajakuelewa,umesema ana moyo mzuri,ila hujasema ana roho nzuri....
 
Madam ni msafi
Hana haja ya kuoshw
Madam acha porojo ya kuwa unajibu kila post hapa haisadiii kitu, kalipe hela ya watu, dawa ya deni ni kulipa. Huwezi kuja kulia lia hapa kutafuta huruma ya watu, kalipe aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…