Madam Ritta umeizika Bongo Star search (BSS)?

Hana hela,eti beauty with brain,wakati hela zilikuwa za kuhongwa na fisadi nyangumi

ila #victoire em kua honest wewe as a lady, hivi kwanini karibia madada wa mjini wote wanaokua na project kama hizi ukitrace back lazma kuna shefa mmoja unakuta ndo alitoa mtaji au ndo alifanya mpango apate udhamini flani au boss wa kampuni inayomfadhili ndo anampasua....hivi inakuaje kuaje ??

yani mfano ukimtrace huyu kidoti lazma kuna mapede aliowavulia ndo wamempa channel ukifwata yule wema lazma kuna kigogo ndo mambo yote huyu mboni nae lazma kutakua na mshefa tu naskia mjamzito ukija kwa huyo madam ritta mwenye tv ndo alikua anakaa hapo hata idea nasikia alipewa na huyo huyo kibopa ... kasoro salama tu labda kwa sababu yy mwenyewe kidume lkn wengine ni shida. em tupe darasa ni kwamba wanawake mnapenda kitonga au ni imposible kuchomoza bila washefa?
 
Hiyo ni nature,wanawake ni viumbe dhaifu,ingawa kiukweli wapo wanaotoka kivyao asilimia 90,ila ni wachahe sana tena sana,Cha ajabu hawa wanawake wanaowezeshwa na mabuzi ndo wanajitapa eti mahard worker hakuna lolote,wametafuniwa kila kitu wao ni kumeza tu.
 
Ulipata kumuona Kibonde anapofanya commentary kwenye mapambano ya ndondi? Kama hujapata nafasi hiyo basi jikumbushe yule commentator wa yale mapambano ya Las Vegas!!! Kwa kifupi, hao wote wanafuata nyayo za wale wale walioanza...
 
Hee! Kumbe hili shindano hatunalo tena?? Sikumbuki shindano langu la mwisho kuangalia lilikuwa lipi... nadhani mshindi alikuwa msichana kibonge kibonge hivi aliyekuwa anaimba taarabu!
 
yule miss nanii mama wawili ambaye ndo mama tajir kwa sasa kamharibia sana madame ishu zake
 
Ndo hivyo madada wa mjini kila siku kuweka status za kuinspire wanzao,kumbe na wao ni spoon feeded tu hakuna lolote.

Hata wanawake wa viti maalum.bila kuwa ndugu,jamaa au nyumba ndogo ya mkubwa hakuna ubunge
 
Hee! Kumbe hili shindano hatunalo tena?? Sikumbuki shindano langu la mwisho kuangalia lilikuwa lipi... nadhani mshindi alikuwa msichana kibonge kibonge hivi aliyekuwa anaimba taarabu!

Uuuh nafikiri ni mariam mohamed, ilikuwa 2010 hiyo
 
Duuuu balaa! Nasikia Masha was behind the scene. Ndio maisha ya mjini yalivyo! A project comes then it goes. Because the reasons for its existence also fade away!
 


umemsahau ian wa tpf
 
Labda kapata mimba ya uzeeni...akimaliza matenite piriodi atarudi hewani kama kawaida.....subira huvuta kheri....
 

nalisubiri kwa hamu kweli yaani, hasa kipindi cha usaili, jamani kuna watu huwa wanakwenda kufanya comedy badala ya kuimba! nasubiri kuongeza cku za kuishi na kupata burudani.
 
yule miss nanii mama wawili ambaye ndo mama tajir kwa sasa kamharibia sana madame ishu zake

sidhani kama kamuharibia maana hili swala ni biashara!
 
Hee! Kumbe hili shindano hatunalo tena?? Sikumbuki shindano langu la mwisho kuangalia lilikuwa lipi... nadhani mshindi alikuwa msichana kibonge kibonge hivi aliyekuwa anaimba taarabu!

Lilipokuwa ITV watu walikuwa hawaulizi maswali kama haya maana walikuwa wana litazama!
 
Hivi hiyo Tbc ni television ya hapa nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…