Madam Ritta umeizika Bongo Star search (BSS)?

Madam Ritta umeizika Bongo Star search (BSS)?

Mengi kampiga chini kakosa hadi udhamini!!!

NJE YA MADA:hivi haya mashindano kwanini huwa lazima kuwe na jaji mwenye makuzi kama Salma kwa bongo,Kate Henshaw(Nigeria got talents),Simon (British got talent),yniaani hawa wanafana kila kitu kuponda na kukatisha tamaa,sielewi kwanini majaji wengi wa mashindano ya aina hii lazima kuna mmoja ni mnoko,Simon ni mnoko sana,Kate Henshaw anavyojibu yaani afadhali hata Salma Jabir,Salmar mwenyewe mapozi na majibu ya haja,kwanini hawa majaji baadhi lazima wawe umiza kichwa!

umemsahau na Ivan wa Tusker project fame
 
Duuuu balaa! Nasikia Masha was behind the scene. Ndio maisha ya mjini yalivyo! A project comes then it goes. Because the reasons for its existence also fade away!

hahahaha
 
Back
Top Bottom