Madam Sepenga kujenga SHOPPING MALL Bagamoyo

Madam Sepenga kujenga SHOPPING MALL Bagamoyo

Shilole mwenzie mjanja baada ya kuona uzuri wote kwisha ziwa ndala na hana soko tena akamtafuta jamaa ambaye sio star,hana mihela na anajua ataweza kumkontrol na japokuwa jamaa han hela ila anaweza kumtimizia mahitaji yake ya msingi ,akaolewa sasa hivi wanajipikia tu ubwabwa wao shishi food,
 
Kila la heri...ila kama hayo hakuyafanya enzi za msoga zama za ofa kibao enzi za hapa kazi tu hataweza.
 
Wema huyu huyu aliyejenga Nyumba ya milioni 400 na kununua vitu vya ndani vya milioni 50 kisha akamwita Zamaradi amfanyie Interview? Wema huyu huyu aliyejitapa kununua Q7 kwa fedha zake mwenyewe? Wema huyu huyu aliyejimwambafy kwamba ameanzisha ENDILESI FEMU?
 
Back
Top Bottom