Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

 
 
ni kweli lakini
wema kama jina lakehanaga kero na mtu[emoji7]
 
Me naona mleta Mada kawa mzalendo na mwenye jicho la mwewe.... Hivi ebu piga picha, jichunguze nafsi yako,.. Leo hii magazeti ya udaku yangekufuatilia Maisha yako na kuandikwa kila kukicha Mabaya mazuri,. Je' ungekua na la kumkosoa Wema Sepenga? Tuwe wakweli, Maisha yake sio mabaya kiasi hicho... Ila hizi team zenu hizi ndio tatizo.... Samahani Wema!
 
Binafsi siwezi kusimama na kuelezea u special wowote kwa mtu kama wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…