Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

Naona kakutuma uje umsifie, vp umepewa bei gani mkuu huyu madame wako si ndio kishoka aliyechakachua LUKU?

Leo hii unakuja kutusumbua hapa?

Binafsi na familia yangu sitaweza kumuomba msamaha mtu aliyekwepa kulipa umeme.
Dah! Umeua Ndugu
 
Watanzania gani haooo...
Huyu Dada KWA kiasi kikubwa ameupigia debe umalaya kwa celebrities wa kibongo kuwa wanaweza kuwa NA good life bila nguvu NA akili zaidi ya kupepetwa on bed....
 
Wakati ukimuonea huruma kwa kuandikwa na magazeti yeye ndio maisha anayoyapenda, asipoandikwa lazma atalianzisha tu aandikwe
 
Ebu Wema tuambie mwenyewe ni nini cha maana ulichokifanya hapa Tanzania?

Umiss haukushinda ulipewa tu kutokana na jina la baba yako. Jiulize, una uzuri gani shinda Jokate au Lisa Jensen? Hawa wanakuzidi mara 10 kwa uzuri.

Umiss haujautendea haki Zaidi ya scandals za kupora mabwana kutwa kucha. Wewe ni mwizi wa maji na umeme na ilibidi uwekwe ndani ila Kikwete kwa usanii wake akakuachia tu.

Wanawake wenzako popote pale wakuonapo hawataki kujihusisha na wewe kutokana na tabia yako ya kujirahisisha na mabwana zao kisha kuishia kutoka nao kimapenzi.

Maisha yako ni ya kuunga unga kimagumashi, ukiona mtu ana hela unamwita kaka mwisho anakuwa mpenzi wako, utamfirisi kama Idrissa mwisho unamtema akiishiwa.

Ni nini cha maana ulichokifanya hapa Tanzania? Nobody hates you, you are just bogus na tumekuchoka.
So mi nimekuwa wema tena...kisa nimekubalina na mleta hoja 😕😕😕😕
 
Upuuzi mtupu kahaba kumtetea kahaba mwenzeke
Kabla hatujaenda mbali we mleta mada usha acha kujiuza pale meeda ...
Au ndio umetoka polisi ukakurupuka kutuandikia uharo kama huu hapa jukwaani
 
Hivi visimu vya Kichina wacha tu vizimwe vyote mwezi wa sita tupunguze ghasia hapa mjini. haya ndio madhara ya kutumia simu fake hata mawazo yako yanakuwa fake tu.
 
Hivi visimu vya Kichina wacha tu vizimwe vyote mwezi wa sita tupunguze ghasia hapa mjini. haya ndio madhara ya kutumia simu fake hata mawazo yako yanakuwa fake tu.
Niko kwenye kompyuta mkuu, Dell Precision T5500 Workstation... Haina dalili za ufeki!
 
Hivi Kweli kwa akili zako Kabisa umekaa chini kuandika upumbavu wakujipendekeza kama huu? Em acha shobo fanya kaZi
 
Diamond kala Wema na Jokate ambao ni no.1 na 2, mzee hujamaliza kazi huyo namba 3 bado hujafanya mambo ili tupumzike na uzi za kipuuzi?

Mondi kama bado malizia kabisa tunataka kupumua.
 
Back
Top Bottom