Ebu Wema tuambie mwenyewe ni nini cha maana ulichokifanya hapa Tanzania?
Umiss haukushinda ulipewa tu kutokana na jina la baba yako. Jiulize, una uzuri gani shinda Jokate au Lisa Jensen? Hawa wanakuzidi mara 10 kwa uzuri.
Umiss haujautendea haki Zaidi ya scandals za kupora mabwana kutwa kucha. Wewe ni mwizi wa maji na umeme na ilibidi uwekwe ndani ila Kikwete kwa usanii wake akakuachia tu.
Wanawake wenzako popote pale wakuonapo hawataki kujihusisha na wewe kutokana na tabia yako ya kujirahisisha na mabwana zao kisha kuishia kutoka nao kimapenzi.
Maisha yako ni ya kuunga unga kimagumashi, ukiona mtu ana hela unamwita kaka mwisho anakuwa mpenzi wako, utamfirisi kama Idrissa mwisho unamtema akiishiwa.
Ni nini cha maana ulichokifanya hapa Tanzania? Nobody hates you, you are just bogus na tumekuchoka.