General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
HahahahaDuh Mangi mtaji wa mama yoyo usije umaliza kwa Madame B huo[emoji1787][emoji1787].
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
WaooooEwe Madame B
Madame mtata,
Mangi ndo kaingia jijini mida hii, nipo hapa Malaika Lounge ya CBE....
Njoo tunywe, tule, tuserebuke na mengine yaendelee!!
Ikishindikana leo hatuonani tena.
Karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko huku kunaitwa Jamatini sijui...nakunywa
Mi bado mgenigeni huku,Niko huku kunaitwa Jamatini sijui...nakunywa
Ok...ngoja nijaribu kuchomoka kwenye hii company then nijue nafikaje.Mi bado mgenigeni huku,
Nimepazoea hapa malaika na rainbow,
Njoo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa,Ok...ngoja nijaribu kuchomoka kwenye hii company then nijue nafikaje.
Yaani wewe jamaa unapata kiwewe kwamatumizi ambayo siyo yako. Amazing
Yaani wewe jamaa unapata kiwewe kwamatumizi ambayo siyo yako. Amazing
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa huo ulopokaji unaonesha ni Kama unaingilia bajeti ya mtu. Huyo anabajeti yske ya manywaji Leo na Madame B
Mwaka umeuanza vizuri sana. Naona unajiachia tu ktk ma avatar hahaa....no hidingofa kama hiz huwa[emoji14][emoji14][emoji14]...