Madame B, Nimeingia dodoma, Njoo Malaika Lounge Ukutane na Mangi

Gubu la mwendokasi

hahhaa shem sijamuona kitambo kidog huwez amini mie shem nilimwelewa ww!khaa kwenye miti ....ila😷😷....ww unatakiwa upate mtu mstaaarabu mpoooleer..ss ukitaka wenye waya wa moto my dear😒😒😒😒
 
Mie mwenzangu hapana.
Na kama ndo hiyo ndoa, acha tu nibanane kwenye nyumba yetu ya urithi na ile ya kwangu.
Huwezi amini...nilikuwa na ndoa 2 na niliishi nazo vizuri tu, sema kuna mambo yalitokea.
Ndio maana unaona wakati huu sina hata mzuka na mwanaume wala kuisikia ndoa,
Sanasana one night stand, otherwise, sitaki chochote na tena hata upenzi sitaki.
Nina historia moja mbaya sana iliyonitokea ndio mana unaona sieleweki linapokuja suala linalohusu wanaume
Shem wako yupo...tunachat siku mojamoja
 
pole...walikutenda?songa mbele..mapenzi matamu jaman
 
Tangu niujue ule msema "mwanamke hupigwa kwa upanse wa khanga" Mifuko yangu ya suruali si card za Atm password kwenye miamala ya simu huwa nawakabidhi kila mwanamke akitamka neno hili kwangu "I love You" sijui nimekuwaje salary yangu hainihusu pia hawa viumbe acha watumie wao wanipe tu ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I love you..

Haya nipige nami
 
Back
Top Bottom