Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Gubu la mwendokasiππππππ una gubu ww khaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gubu la mwendokasiππππππ una gubu ww khaaa!
Gubu la mwendokasi
Mie mwenzangu hapana.hahhaa shem sijamuona kitambo kidog huwez amini mie shem nilimwelewa ww!khaa kwenye miti ....ilaπ·π·....ww unatakiwa upate mtu mstaaarabu mpoooleer..ss ukitaka wenye waya wa moto my dearπ’π’π’π’
Mie mwenzangu hapana.
Na kama ndo hiyo ndoa, acha tu nibanane kwenye nyumba yetu ya urithi na ile ya kwangu.
Huwezi amini...nilikuwa na ndoa 2 na niliishi nazo vizuri tu, sema kuna mambo yalitokea.
Ndio maana unaona wakati huu sina hata mzuka na mwanaume wala kuisikia ndoa,
Sanasana one night stand, otherwise, sitaki chochote na tena hata upenzi sitaki.
Nina historia moja mbaya sana iliyonitokea ndio mana unaona sieleweki linapokuja suala linalohusu wanaume
Shem wako yupo...tunachat siku mojamoja
Matamu umpate akupendaye na mridhiane...ila huko kwegine ni meusi tupole...walikutenda?songa mbele..mapenzi matamu jaman
I love you..Tangu niujue ule msema "mwanamke hupigwa kwa upanse wa khanga" Mifuko yangu ya suruali si card za Atm password kwenye miamala ya simu huwa nawakabidhi kila mwanamke akitamka neno hili kwangu "I love You" sijui nimekuwaje salary yangu hainihusu pia hawa viumbe acha watumie wao wanipe tu ....
Sent using Jamii Forums mobile app
NITAKUPIGA tu madame. Nakusanya card zangu za benki uniwekeeI love you..
Haya nipige nami
Haya baba