Madame B nimekukumbuka SANA.....!!!

Last edited by a moderator:

Sa kwanini unawataja hao watu wote jamani!!!!!!!!

I love you @figgganigga kila siku unanipa sababu ya Kukupenda zaidi
 
Sa kwanini unawataja hao watu wote jamani!!!!!!!!

I love you @figgganigga kila siku unanipa sababu ya Kukupenda zaidi

Sina mapenzi ya siri. Nataka watu wote wajue kua mpenzi wangu ni Heaven on earth hata aliye kuwa na nia ya kutangaza nia kwangu akate tamaa. Nakupenda sana mrembo wangu. Mmwaaaaaa......!!!!. mia
 
Last edited by a moderator:
Sina mapenzi ya siri. Nataka watu wote wajue kua mpenzi wangu ni Heaven on earth hata aliye kuwa na nia ya kutangaza nia kwangu akate tamaa. Nakupenda sana mrembo wangu. Mmwaaaaaa......!!!!. mia

Hahaaa kweli mapenzi raha,

sa nyingine najiuliza hivi ni kwanini hatukujuana mapema!!!!!!!!!
 
Hahaaa kweli mapenzi raha,

sa nyingine najiuliza hivi ni kwanini hatukujuana mapema!!!!!!!!!

Hatukujuana mapema sababu tunda lilikua halijakomaa. Mimi sasa ni wako. Nitende utakavyo. Ukitaka ushinde kifuani kwangu sawa tu, ukihitaji pipi ya kijiti ni maamizi yako sababu huu mwili wote ni mali yako. Mia
 

Wakati wa sikukuu ni wakati familia zinapaswa kuwa pamoja na maelewano pamoja na mapenzi hungezeka. Kulikoni familia yenu?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…