madame g

madame g

madame g,
Baada ya ukaribisho...
Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi ya bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani
INGIA HAPA KUPIGA KURA
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hongera, naona umekuwa mpiga debe mzuri.

Hahaha mkuu natetea kibarua changu cha umeneja wa kampeni, nakuomba nawe upige kura yako kwa charminglady basi...
 
karibu ila hilo jina nimelipenda aisee bana madame g
 
Last edited by a moderator:
madame g,
Baada ya ukaribisho...
Nakuomba ubonyeze hapo chini kwenye maandishi ya bluu halafu mpigie kura dada mrembo wa JF anayeitwa charminglady...natanguliza shukrani
INGIA HAPA KUPIGA KURA

Ukisoma katikati ya mistari huoni kuwa ana uhusiano na mshiriki mmoja wa haya mashindano? Stuka!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mkuu natetea kibarua changu cha umeneja wa kampeni, nakuomba nawe upige kura yako kwa charminglady basi...

Usijali watu8. Tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja Invisible ai merge na id yako original tukujue
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom