Madame Ritha Paulsen

Status
Not open for further replies.

Ooh Yeah!!
 

Attachments

  • dc.JPG
    64.3 KB · Views: 178
Unavutiwa na hayo tuuuuuu mkulu au kuna..................mbona hayo naona ni ya kawaida tu ...? kwi.. kwi.. kwi..
 
The pic says it all!
Ohh YES.Kevo ukisikia mapambano ya kushindana na shetani, usijefikiri kuna siku utakutana na shetani anapembe na meno ya kutisha.
Unakutana na KITU kama hicho.
Haki ya mama...HUTOKI.
WACHA TUCHOMWE MOTO...DUH CHEKI ... KUDA.. DA .. DA.. DEKI.
Kila mtu ana mapungufu yake bana. Duhhhhh. Uwiiiii....Ehhh......Ahhhhh.....Ashiiiiii.....hh
 
Kweli amejitahidi kuendesha kampuni yake kama mjasiria mali aliyewezeshwa. Nimepata kumuona wiki 2 zilizopita kwenye msiba mmoja karibu na JKT mlalakua. Nadhani safari imewadia huyu mjasiria mali kwani amechoka sana kimwili na nywele amekata zimelainika. Hebu tumtafutie pahala pa kujiuguza
 
Kweli kila mmoja ana udhaifu ila tumetofautiana aliyepost mara nyingi sana kwenye hii thread lazima atakuwa ameathiriwa kisaikolojia na madame Rita, na ni vizuri kuwa mkweli katika maisha, kama hujaathiriwa ni wewe ila wengi nasema wanachanganywa! simsemi nani mimi simo

yo-yo mambo vipi mtu wangu, tupo pamoja kuliendeleza libeneke?

waberoya
 
Wana jf mwogopeni Mungu wenu kupakana matope hakufai , ingekuwa wewe je?. Hapa watu wengi wanatumia majina bandia ,kwa mwanya huu wanawavunjia heshima watu wengine kwa kuwasema maneno yasiyo faa. Ni dhambi sana kusema uongo , na mshahara wa dhambi ni mauti wanadungu.
 
Madame RITA sifa zote anazo ila ya kukwapua waume za watu nadhani inaongoza! Kama kuna PhD ya ukwapuaji waume za watu anaistahiki huyu dada! Kosa kubwa sana mwanaume mwenye tujisenti kupita mbele yake.. aisee huyu mama ni mtaalamu, na kama unatuchange twako nakushauri upite mbali.

Vinginevyo nampongeza tu kwa kuwa na akili ya kuzitumia vyema hizo pesa alizo na anazo endelea kwapua kwa waume za watu. Hicho kikampuni chake si uongo kipo juu!
 
I dnt think the term madame begins to describe her even one bit.. what she is is a w**r*
 
Hivi aliwahi kuajiliwa?

Je,mtaji wa kufungua coy ile alikopa wapi? naulzia ili na wakinamama wenzake waige mfano.....huyu dada namzimia kiutendaji....

Itabidi hapo tumuulize aweke wazi ni nini siri ya mafanikio yake.
Kama ni makusanyo ya mabuzi mbalimbali hawezi kuweka wazi kama vp afundishe wanawake wengine jinsi ya kuchuna mabuzzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…