Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
.Pamoja na mafanikio yote, Rita ana tatizo moja kubwa. Tatizo lake kubwa ana Deep Rooted Neorosis inayopelekea inferiority complex.
Rita ni mzuri tuu hata akiamka asubuhi kabla hajanawa anavutia, unapomuona Madame Rita anajiover make up na kuvaa mavazi ya visichana vya kileo, hili ni tatizo la chini chini la kutojiamini hivyo anajenga comfidemce on make-up kwa kujiremba kupindukia.
Rita hana haja ya kuover dress na over make-up to justfy her beauty.
Hata maofisini ukimuona mdada amejiremba sana kupita kiasi ama wale wavaa magold mengi matundu kibao masikioni ujue wanamatatizo sambamba na wavaa lundo la shanga.
Ooh Yeah!!