KERO Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wenye upungufu wa nguvu za kiume ndio huapiga dakika 2 tu
 
Mbona unateseka na mambo ambayo huyapendi? Hayo madanguro yapo kwa sababu wateja wapo
 
Karibu na Mwananyamala hospitali huduma zingeboreshwa zaid
 
mkiambiwa wasichana wakivunja ungo miaka 14 waolewe mnawalalamikia waislamu , basi waacheni waliwe umri miaka 14 kwenye madanguro
Sasa hao wanaojiuza wengi hapo ni waislam na ikifikia ramadhani wanafunga kabisa na wanapungua.
 
Moshi wapo pia ni pisi kali asee
 
Manispaa ndo Wahusika wakuu
 
Hili la Temeke Chang"ombe Usalama bado sijalijua kabisa!!
 
vitu vingine ni kutumia hekma tu,kikubwa tunza familia yako vizuri kwa maadili.mengine achana nayo,dunia tambara bovu.
 
Nashkuru kwa kunijuza machimbo, unaonekana nawe si haba, ni mteja mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…