KERO Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

KERO Madanguro Dar, Serikali za mitaa mnalipwa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hawa ukiwa gusa ujiandaee na

Yatima

Wajane wa kutosha

Hawa wanalinda ndoa za watu mkuu sasa nahaoo serll zamitaa hawataki usumbufu wa kesi za kuachana ama kuuana
Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu.

1. Tandika Sokoni,
2. Temeke Sudani,
3. Temeke Sokota (Sugar Ray),
4. Buguruni Sokoni,
5. Manzese Uwanja wa Fisi,
6. Manzese Mferejini,
7. Mwananyamala Hospitali,
8. Msasani Macho,
9. Temeke Kata 14,
10. Ubungo Riverside,
11. Temeke/Chang'ombe Usalama,
12. Sinza Mori, soccer city, Kitambaa cheupe,
13. Sinza Afrika Sana,
14. Manzese Tiptop (Lambo),
15. Buguruni Sewa bar,
16. Oysterbay- Elements,
17. Coco beach,
18. Ubungo Riverside,
19. Sinza Meeda,
20. Velvet (zamani Corner bar)

NB: Tukisema wenyeviti wa Serikali za mitaa na wajumbe mnapewa rushwa na Hawa makahaba tutakuwa tunakosea?

**Huduma hii inahusisha hadi watoto chini ya miaka 18 kwa gharama ya TSH 3,000 tu (chumba na zana).

====

Meya Songoro aongoza operesheni vunja madanguro, makahaba 24 wakamatwa. Danguro 150 zavunjwa Mwananyamala
 
Wanawake weng sana wanafanya hyo biashara,,ila Hao wanafanya in a formal way,,hata dem wako ukute ni mdau wa hii biashara lakn in informal way, mfanyie utafit wako..utajifunza
 
Nitakupa mfano ambao binafsi nimewahi kuhusika.
Mwaka 2020 Nilifanya kazi na asasi ya kijamii inaitwa NESODO. Tulikuwa na timu ya watu zaidi ya 10 ambapo tulikuwa na kibarua za kwenda kuzungumza na wadau kuhusu tabia hatarishi ikiwemo matumizi ya dawa za kulevya pamoja uuzaji wa miili, kituo changu kilikuwa ni Mwanza, tulizunguka wakati huo maeneo ya Villa Park, Casanova na kadhalika.

Tulishangaa tulivyoenda kwa viongozi kuwaelezea haya mambo na wao walikuwa hawana hata muda! Kuna mjumbe mmoja wa serikali ya mtaa wa Pasiansi karibia na chuo cha Maliasili. Alituambia kuwa kuna biashara nyingi sana zina baraka za viongozi kwa asilimia 100.
1. Ombaomba kuna mkono wa viongozi.
2. Biashara ya madawa ya kulevya.
3. Pombe haramu.
4. Uuzaji wa miili au umalaya.

Unawakatama wahusika ila ukiwapeleka ofisi za watendaji na wenyeviti watu wanaachiwa na kutoa tahadhari fupi tu.

NB: VIONGOZI WANAHUSIKA KWA KIWANGO KIKUBWA.
 
Kuna clip nilioona jinsi kinadada wanavyocheza uchi siju ni bar au night club ile daah, Kwa kweli ni hatari,
Na zaidi ukitaka kumgusa au kumbambia unaambiwa toa hela😟😞
Na cha ajabu zaidi ukitaka hadi kufanya mapenzi unalipia tena hapo hapo unapewa mzigo tena huku ukiwa unarekodiwa can you imagine?
Kwa scenario hiyo sidhani kama vijana huwa wanakumbuka hata condoms
So ukahaba hata ipigwe vita vipi sidhani kama unaweza utaweza kuisha
 
Madanguro yamekuwa kama biashara rasmi, Leo nitataja madanguro Jijini na kuwauliza mamlaka za Serikali za mitaa kama nao ni sehemu ya huu uchafu.

1. Tandika Sokoni,
2. Temeke Sudani,
3. Temeke Sokota (Sugar Ray),
4. Buguruni Sokoni,
5. Manzese Uwanja wa Fisi,
6. Manzese Mferejini,
7. Mwananyamala Hospitali,
8. Msasani Macho,
9. Temeke Kata 14,
10. Ubungo Riverside,
11. Temeke/Chang'ombe Usalama,
12. Sinza Mori, soccer city, Kitambaa cheupe,
13. Sinza Afrika Sana,
14. Manzese Tiptop (Lambo),
15. Buguruni Sewa bar,
16. Oysterbay- Elements,
17. Coco beach,
18. Ubungo Riverside,
19. Sinza Meeda,
20. Velvet (zamani Corner bar)

NB: Tukisema wenyeviti wa Serikali za mitaa na wajumbe mnapewa rushwa na Hawa makahaba tutakuwa tunakosea?

**Huduma hii inahusisha hadi watoto chini ya miaka 18 kwa gharama ya TSH 3,000 tu (chumba na zana).

====

Meya Songoro aongoza operesheni vunja madanguro, makahaba 24 wakamatwa. Danguro 150 zavunjwa Mwananyamala
Umesahau chuo cha uhasibu kwa nyuma barabara ya kuelekea Kurasini.
 
Serikali ihangaike kutoa Sera za kuleta ajira zenye ujira..., huenda wengine hapo wasingetumbukia huko kama wangepata alternative...,

Cha maana hao wanaofanya hayo wahakikishe hakuna kero kwa mtu wa karibu yaani hata kama ni jirani kabisa usione / kujua kinachoendelea... sababu mtu baki akijua / akiona wakati sio mteja wala hajaenda kutafuta (hio itakuwa ni public nuisance). Lakini huyo aliyekwenda hadi kwenye hicho chumba na kupiga picha (all I can ask ni alikuwa anatafuta nini)?
 
Back
Top Bottom