antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duh.. maajabu haya!Viongozi wakubwa wa nchi na wafanyabiashara wakubwa wa nchi pia kamwe hawawezi kuhangaika kutafuta wanawake warembo. Wanakuwa na vijana maalumu wa kufanya kazi hizo. Wao ni Kupiga simu tuu kuwa wamemuona mrembo Fulani au kumtumia picha kuadi kuwa unamjua huyu mrembo, kisha Oda inatolewa atafutwe Kwa gharama yoyote. Bajeti inapangwa mrembo anawekwa mtu Kati.