Ukitaka connection popote kamata bodaboda mpe ten atakuletea sample dizaini uitakayo. Bodaboda ndio wanajua siri zote za nani ni nani mtaani, wauzaji wote Wana namba za bodaboda. Bodaboda zote jirani na vyuo zinafanya Kazi mbili kutoa huduma za usafiri na ukuadi pia. Kutwa zinazururura kwenye mahotel, guest, lodge nk zikipeleka na kuchukua watu.