Madaraja mapya kwa Mitihani ya Kidato cha nne ndo haya hapa!!!.

Madaraja mapya kwa Mitihani ya Kidato cha nne ndo haya hapa!!!.

F 0-20% D 35-49 where is 21-34%? imetungwa hii!
 
habari ni ya kweli ila grading sio hizo. Mdogo wangu aliniambia juzi kuwa mawetangaziwa shuleni kwao kibasila na headmistress kuwa kuna mabadiliko. Madaraja mapya ni haya hapa:

A = 80%-100%

B = 65%-79%
C = 50%-64%
D = 35%-49%
F = 0%-34%

Kama hiyo ni kweli basi tutegemee yafuatayo:
1. ZERO za kufa mtu
2. Ufaulu wa wachache wenye akili zao maana hapo penye C na B shughuli ipo
3.Failure za kufa mtu kwa hawa jamaa wa QT na mwisho QT kufutika kabisa.
4. Re-sitters kupungua maana shughuli ya kupata C itakuwa ngumu sana
Mwisho natoa ushauri kwa wizara ya elimu ishirikiane na wizara ya afya kuhakikisha wanafunzi wote wanatibiwa Minyoo ili kufanya uelewa wao kuwa mkubwa, maana kama bado minyoo itaendelea kushika kasi mashuleni basi tutegemee failure zaidi.
 
mmh!!! mbona hawaelewek D35-49,F 0-20 atakaepata 34-21 atapata daraja gan mbna cwaelewek!!!
 
Back
Top Bottom