Kwa Ukweli Elimu imeingia siasa,sijawahi kufikiria tutafika wakati wizara ya elimu itapanua wigo wa kufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha nne kuongezewa grades ili kubeba groups za failures na kuhalalisha ujinga kama serikali ilivyofanya.Hii itatuwezesha kuwa na wajinga wengi zaidi nchini na wasioweza kupambana na ushindani wa dunia ya sasa kwenya teknolojia na utandawazi hasa kwenye ugunduzi wa kisayansi.Hii ni aibu na hakuna wa kutubebea huu mzigo .:crying: