Madaraja ya kufaulu kidato cha nne

Madaraja ya kufaulu kidato cha nne

donbeny

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
3,589
Reaction score
3,184
Kwa Ukweli Elimu imeingia siasa,sijawahi kufikiria tutafika wakati wizara ya elimu itapanua wigo wa kufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha nne kuongezewa grades ili kubeba groups za failures na kuhalalisha ujinga kama serikali ilivyofanya.Hii itatuwezesha kuwa na wajinga wengi zaidi nchini na wasioweza kupambana na ushindani wa dunia ya sasa kwenya teknolojia na utandawazi hasa kwenye ugunduzi wa kisayansi.Hii ni aibu na hakuna wa kutubebea huu mzigo .:crying:
 
Sasa wewe ndugu yangu hivi bila kubadili hivyo viwango vya ufaulu unadhani leo hii shamrashamra za wiki ya elimu zingetoka wapi? Kubadilisha viwango vya ufaulu ndiyo mafanikio makubwa ya BRN na kuna kujifariji kwa kuweka wiki ya elimu kufurahia eti ubora wa elimu umeongezeka sana.
 
Tutaona huo ubora baadae,pilau si wameshashiba?
 
Back
Top Bottom