BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Baadhi ya watumishi hawajapanda Madaraja kwa zaidi ya miaka 12 , kwa Hali hiyo utendaji kazi uliotukuka utakuwepo?
Serikali inatakiwa kundi Rika lote wapande Madaraja , unakuta watumishi wameanza kazi pamoja na elimu yao inafanana lakikini wanatofauti kubwa ya Madaraja yao. Ifike mahali Hili suala lifanyiwe kazi kwa vitendo na isiwe propaganda tu.
HRO naye hajui lolote yeye anashughulikia waraka uliotolewaMcheki HRO wako haraka akupe jibu
Huyu jamaa ni mwanasiasaAisee hili swali unalijibu kisiasa sana.
A:ndiyo ni mwezi huu
B: Hapana ni mwezi ujao n.k
Tujibu wewe maana wewe ni kiongoz mwandamiziHRO naye hajui lolote yeye anashughulikia waraka uliotolewa
na taarifa nilizonazo utumishi wametuma majina ya watu wachache sana kwenye halmashauri ,wametuma majina 5000 kati ya watu elfu 54 wanaotakiwa kupandishwa vyeo Kwa njia ya msererekoTujibu wewe maana wewe ni kiongoz mwandamizi
Mtu amekosa haki yake anaanzaje kuvumilia na waziri alisema asiachwe hata mmoja lakin watu wengi waliohakikiwa wameachwaMama anaupiga mwingi.
Kuna watumishi wamepandishwa daraja Mwezi June 2024, ndiyo hayo yanaitwa "Mserereko au wamepandishwa Kwa utaratibu wa kawaida"?Mtu amekosa haki yake anaanzaje kuvumilia na waziri alisema asiachwe hata mmoja lakin watu wengi waliohakikiwa wameachwa
hao wamepandishwa Kwa utaratibu wa kawaida ,ninaowasemea ni wale ambao unakuta tangu aajiriwe amekaa miaka 6,7 ,8 au 9 bila kupandishwa cheo wakat serikali tayar Kuna ambao mwez June na hii July wamepandishwa vyeo nao walioathiriwa na zoez la uhakiki lakin serikali imewasahau kabisa wa mserereko Sasa sijui tatzo ni nin,Kuna watumishi wamepandishwa daraja Mwezi June 2024, ndiyo hayo yanaitwa "Mserereko au wamepandishwa Kwa utaratibu wa kawaida"?
Mim ni mtendaj kata sio mwalimuWewe ajira ya ualimu ya mwaka gani?