Kilala Makusaro
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 688
- 382
Baada ya kupandishwa kwa mshahara kiduchu kwa waalimu na wafanyakazi kwa jumla, kunataarifa za siri zimevuja kuwa waalimu wanaofundisha maeneo yanayoongozwa na upinzani(Chadema) na hasa yale yanayowindwa na ccm 2015 wamepandishwa madaraja.
Maeneo ambayo chanzo cha habari kimedhibitisha kupandishwa madaraja ni pamoja na Jiji la Arusha, Meru,Mbeya na Iringa mjini,Mwanza mjini nk.
Huku majimbo na halmashauri zilizochini ya ccm kama Ngorongoro,Serengeti, Longido nk. wakiwa hata hamna matumaini wala dalili ya kupandishwa madaraja.
Mmjo wa wafanyakazi wizara ya utumishi alidokeza chanzo hiki kuwa hayo ni maaelekezo yenye nia ya kunyamazisha waalimu maeneo hayo ya chadema, kuwafanya kuiamini ccm na kuisaidia kuyarejesha majimbo hayo.
Nimeaamuaa kumpigia simu mwalimu mmoja wilaya ya ngorongoro kwa udhibitisho zaidi naye alinijibu kuwa wenzake anaowafahamu wa arusha mjini na karatu wamepandishwa lakini wao hakuna hata mwalimu mmoja wilayani humo amepandishwa daraja.
Nawasilisha