Madaraja ya waalimu yapandishwa kufuata upepo wa siasa

Kilala Makusaro

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
688
Reaction score
382
Baada ya kupandishwa kwa mshahara kiduchu kwa waalimu na wafanyakazi kwa jumla, kunataarifa za siri zimevuja kuwa waalimu wanaofundisha maeneo yanayoongozwa na upinzani(Chadema) na hasa yale yanayowindwa na ccm 2015 wamepandishwa madaraja.

Maeneo ambayo chanzo cha habari kimedhibitisha kupandishwa madaraja ni pamoja na Jiji la Arusha, Meru,Mbeya na Iringa mjini,Mwanza mjini nk.

Huku majimbo na halmashauri zilizochini ya ccm kama Ngorongoro,Serengeti, Longido nk. wakiwa hata hamna matumaini wala dalili ya kupandishwa madaraja.

Mmjo wa wafanyakazi wizara ya utumishi alidokeza chanzo hiki kuwa hayo ni maaelekezo yenye nia ya kunyamazisha waalimu maeneo hayo ya chadema, kuwafanya kuiamini ccm na kuisaidia kuyarejesha majimbo hayo.

Nimeaamuaa kumpigia simu mwalimu mmoja wilaya ya ngorongoro kwa udhibitisho zaidi naye alinijibu kuwa wenzake anaowafahamu wa arusha mjini na karatu wamepandishwa lakini wao hakuna hata mwalimu mmoja wilayani humo amepandishwa daraja.

Nawasilisha
 
wewe unajua kweli taratibu za upandishaji vyeo watumishi?
 
Ccm inawapa Walimu mkate ulitiwa sumu ili wakiwakubali moja kwa moja hadi Ikulu halafu wanawaambia kama kura zenu mali msinipigie lakini akiwa keshapata.

Ila Walimu mwaka huu na mwakani msituangushe maana wanawajua vzr ndiyo maana madaraja huenda yakawatoa roho achaneni na sifa za marehemu yaani hata ukimsifia mwishowe ni kumzika tu.

Ndicho sasa Ccm inataka kutumia kwa Walimu kwa nia eti njema!
 
Baada ya kupandishwa kwa mshahara kiduchu kwa waalimu na wafanyakazi kwa jumla, kunataarifa za siri zimevuja kuwa waalimu wanaofundisha maeneo yanayoongozwa na upinzani(Chadema) na hasa yale yanayowindwa na ccm 2015 wamepandishwa madaraja.

Maeneo ambayo chanzo cha habari kimedhibitisha kupandishwa madaraja ni pamoja na Jiji la Arusha, Meru,Mbeya na Iringa mjini,Mwanza mjini nk.

Huku majimbo na halmashauri zilizochini ya ccm kama Ngorongoro,Serengeti, Longido nk. wakiwa hata hamna matumaini wala dalili ya kupandishwa madaraja.

Mmjo wa wafanyakazi wizara ya utumishi alidokeza chanzo hiki kuwa hayo ni maaelekezo yenye nia ya kunyamazisha waalimu maeneo hayo ya chadema, kuwafanya kuiamini ccm na kuisaidia kuyarejesha majimbo hayo.

Nimeaamuaa kumpigia simu mwalimu mmoja wilaya ya ngorongoro kwa udhibitisho zaidi naye alinijibu kuwa wenzake anaowafahamu wa arusha mjini na karatu wamepandishwa lakini wao hakuna hata mwalimu mmoja wilayani humo amepandishwa daraja.

Nawasilisha

Uwongo wa shetani huo. Ninyi ma-speculator ndio mnaosabanisha uchonganishi na kufanya wafanyakazi wanyimwe haki zao. Walimu waliopitishwa nchi nzima ni zaidi ya 35,000. Sasa wote hao wanatoka wanakoongoza chadema? Acha uvivu wa kufikiri.
 
Nyongeza Elf 25 tu! Hata kodi ya nyumba haitoshi kulipa kwa mwezi.
 
Baada ya kupandishwa kwa mshahara kiduchu kwa waalimu na wafanyakazi kwa jumla, kunataarifa za siri zimevuja kuwa waalimu wanaofundisha maeneo yanayoongozwa na upinzani(Chadema) na hasa yale yanayowindwa na ccm 2015 wamepandishwa madaraja.

Maeneo ambayo chanzo cha habari kimedhibitisha kupandishwa madaraja ni pamoja na Jiji la Arusha, Meru,Mbeya na Iringa mjini,Mwanza mjini nk.

Huku majimbo na halmashauri zilizochini ya ccm kama Ngorongoro,Serengeti, Longido nk. wakiwa hata hamna matumaini wala dalili ya kupandishwa madaraja.

Mmjo wa wafanyakazi wizara ya utumishi alidokeza chanzo hiki kuwa hayo ni maaelekezo yenye nia ya kunyamazisha waalimu maeneo hayo ya chadema, kuwafanya kuiamini ccm na kuisaidia kuyarejesha majimbo hayo.

Nimeaamuaa kumpigia simu mwalimu mmoja wilaya ya ngorongoro kwa udhibitisho zaidi naye alinijibu kuwa wenzake anaowafahamu wa arusha mjini na karatu wamepandishwa lakini wao hakuna hata mwalimu mmoja wilayani humo amepandishwa daraja.

Nawasilisha
Mkuu naomba nikwambie tu kwamba hunaakili kabisa ulishaona wapi madaraja yanapandishwa eneo moja na eneo lingine hayapandishwi hizi bangi mnazovuta zitawapeleka kubaya.
 
Chamsingi tujue waliopandishwa madaraja mwaka huu ni wale walioanza kazi mwaka gani?
 
Mkuu naomba nikwambie tu kwamba hunaakili kabisa ulishaona wapi madaraja yanapandishwa eneo moja na eneo lingine hayapandishwi hizi bangi mnazovuta zitawapeleka kubaya.

kutukanana sio issue, msomi mzuri niyule ambaye akisikia kitu anakifanyia kazi kwakufanya uchunguz na wewe simiyu kwanza zama hz za karne 21 hatuend kwa mazoa.mim nimepata taarfa kuwa huko kigoma wilaya ya buhigwe kunaongezo la mishahara kwa walimu hili nibaada ya lile la mwez julai. tufanye uchunguz achen mazoea
 
Ni kweli shetani muaribifu ila kila dhambi tusimsingizie yeye maana waalimu wamekuwa wapumbavu sana hapa Tanzania Na unafiki miongoni mwao hao ndio WA kwanza kuswaga wanafunzi kwenye sherehe Na mikutano ya ccm.......hao wakigoma wengine wanasalitiana hawana hata umoja

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom