Madaraka hulevya; Rais ameanza kujimwambafai

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.

Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.

Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.

Pia soma
- Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili
 
Ni wakati wake pia na katiba inamruhusu kuwa hivyo
 
Huenda unahoja, lakini haraka ya nini?
 
Nilipoliona jina 'Pantosha' nikasema hapa kuna mambo. Hata namaliza kusoma naona 'Pankwisha' Ama kweli duniani kuna mambo.
 
Watanzania tumrudie Muumba wetu yeye ndo muweza wa yote tuachane na akina Chifu Mangungo! 🤔
 
Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.

Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.

Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.

Pia soma
- Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili
Maza anajazwa upepo na chawa wake
 
Kwa hapa TZ ni Balozi Mulamula pekee ndiye aliyepata fursa ya kukutana na kula chakula Whitehouse na Biden. Huyu mhaya alikuwa ni kichwa mpaka akawakwaza wakubwa zake. Ilimgharimu lakini alitengeneza jina kwa kupata hiyo fursa adimu ambayo wengi wanaitamani lakini hawaipati.
 
Kauli ya hivi karibuni za mkuu wa nchi alipokuwa akihutubia huko Arusha na kudai kuwa sisi hatufundishwa namna ya kuongoza na kwamba mambo ya utekaji yanayoendelea nchini yangekuwa yakewakera marais wa hizo balozi ambazo zinashinikiza uwepo wa uchunguzi huru wa mauwaji na utekaji kuwa wangempigia simu wao wenyewe na siyo mabolozi.

Hii inatoa mashaka ya ikiwa kweli rais anajua mamlaka na utendaji kazi wa balozi.

Eti Biden achukue simu na kumpigia SSH? Duuh, dunia inaenda kasi sana.

Pia soma
- Rais Samia hapa ulikosea kidogo na sijui ni nani alikujaza Upepo na ukalisema hili
CCM inatuvuruga sana.
 
mwaka huu zitaitaa
 
Back
Top Bottom